| Mahali pa Kiswahili | Lugha nyinginezo |
| Sinema ya YESU ni sinema ya masaa mawili iliyonakiliwa kutoka kitabu cha Injili kama alivyoiandika Luka Mtakatifu, na iliyotambuliwa kuwa na maelezo sahihi mno ya maisha ya Yesu yaliyowahi kuwekwa katika filamu. | Sinema Ya YESU |
Sinema ya YESU ni sinema ya masaa mawili iliyonakiliwa kutoka kitabu cha Injili kama alivyoiandika Luka Mtakatifu, na iliyotambuliwa kuwa na maelezo sahihi mno ya maisha ya Yesu yaliyowahi kuwekwa katika filamu. Nia ya Mradi wa Sinema ya
YESU ni kuonyesha Sinema ya YESU kwa kila mtu ulimwenguni kwa
lugha yake. Kwa hiyo, endapo unazumgumza Kiswahili, Kifaransa, au mmoja kati
ya zaidi ya lugha 810 nyinginezo, utaelewa Yesu kwa lugha yako.
Kupitia jitihada za Mradi wa Sinema Ya YESU na zaidi ya mawakala 800 wa Kikristo zaidi ya watu bilioni 4 ulimwenguni wameiona filamu hii yenye nguvu sana na wengi wao wameisikia masimulizi ya YESU kwa lugha wanaoielewa. |
| Nyumbani | Yesu ni nani? | Sinema Ya YESU | Kanuni Nne za Kiroho | Maisha Yaliyojaa Roho Mtakatifu | Fursa | Zana |
© 1995-2003 Campus Crusade for Christ International
Last Updated: 17 June, 2003