| Mahali pa Kiswahili | Lugha nyinginezo |
| Jinsi
ya kujua kwamba Yesu yumo
maishani mwako. Sasa, je, umemkaribisha Yesu maishani mwako? Unajuaje? Kwa hiyo yuko wapi sasa? Kumbuka Ufunuo 3:20 Yesu alisema ataingia katika maisha yako. Je, si kweli? Je, unajuaje kuwa Mungu amesikia ombi lako? Mungu ameahidi kwanba lo lote tuombalo na kuamini litatendeka. Aliye
na Yesu anao uzima wa milele. Umshukuru Mungu kila siku kwamba Yesu anaishi katika maisha yako. Ukumbusho wa muhimu... Unaweza kujisikia leo unafuraha ndipo kesho ukawa na huzuni. Kwa vyovyote utakavyojisikia Yesu Kristo habadiliki maishani mwako. (Waebrania 13:5).
Basi, usitegemee mawazo yako, bali utegemee ukweli wa Neno la Mungu kwa imani. Kwa kuwa sasa umempokea Kristo Tangu ulipompokea Kristo mabadiliko mengi yametokea:
Je, unafikiri kuna jambo lililo bora kuliko kumpokea Yesu katika maisha
yako? Kama mtoto mchanga unahitaji kukua, utaendelea vizuri katika maisha ya kiroho ukiyafuata mashauri yafuatayo kila siku:
Ni muhimu kwa Wakristo kushirikiana Biblia inatuambia kukusanyika pamoja (Waebrania 10:25). Vifaa maalum vilivyopo kwa ajili ya kukua Kikristo. IIwapo umekuja kwa Kristo kibinafsi kupitia wasilisho hili la Injili, vifaa vitakavyo kusaidia kukua Kikristo vinapatikana kwa ajili yako.Kwa habari zaidi, kamilisha fomu ifwatayo au andikia LIFE Ministry, S.L.P. 62500-00200, NAIROBI, KENYA. LIFE Ministry Kenya Utapenda kushirikisha ugunduzi huu muhimu... Iwapo kurasa hizi zimeleta maana na msaada kwako, tafadhali washirikishe wengine. Ili kudumisha thamani na kulinda yaliyomo kutobadilishwa, wala Ukurasa wa Mtandao huu wala sehemu zake haziwezi kunakiliwa katika muundo wowote bila kibali cha maandishi kutoka mchapishaji, NewLife Publications, Sanduku la Posta 594684, Orlando, FL 32859. USA. Kanuni Nne za Kiroho ziliandikwa
na Dk. Bill
Bright |
| Nyumbani | Yesu ni nani? | Sinema Ya YESU | Kanuni Nne za Kiroho | Maisha Yaliyojaa Roho Mtakatifu | Fursa | Zana |
© 1995-2003 Campus Crusade for Christ International
Last Updated: 28 March, 2002