Zana
Yesu wa Nazareti ni nani kwako ? Maisha yako ya hapa duniani na pia ya
milele yanategemea jibu lako kwa swali hili.
Kila jambo maishani lina kanuni zake. Kadhalika maisha ya kiroho yana kanuni
zake za jinsi ya kushirikiana na Mungu.
Kila siku yaweza kuwa yenye kusisimua kwa Mkristo anayejua ukweli wa kujazwa
Roho Mtakatifu na anayeishi kila wakati katika uongozi wake wa kineema.
Sinema ya YESU ni sinema ya masaa mawili iliyonakiliwa kutoka kitabu
cha injili kama alivyoiandika Luka Mtakatifu, na iliyotambuliwa kuwa na
maelezo sahihi mno ya maisha ya Yesu yaliyowahi kuwekwa katika filamu.
|