Mahali pa Kiswahili Lugha nyinginezo
Ungana na mamilioni walioushuhudia utukufu wa JESUS na maisha yao yakabadilishwa milele

Sinema ya  YESU Katika
Video ya Real

YESU ni filamu ya ajabu, yenye kusisimua. Uangalifu wa usahihi kibibilia ni wakushangaza unaporudishwa hadi maisha na nyakati za Yesu Kristo. Utatembea mitaa ile ile ya kihistoria, utakutana na miujiza ile ile ya ajabu na utaguswa na nguvu za Mungu kadri utakapokuwa ukiyaishi tena matukio ya muhimu sana katika historia ya mwanadamu. 

Ungana na mamilioni walioushuhudia utukufu wa YESU na maisha yao yakabadilishwa milele . Ilichukuliwa kivyote katika eneo la Israeli, YESU inakufanya kujisikia sehemu ya historia katika matengenezo.

YESU ni zaidi ya simulizi. Kwa kweli, kila neno lililotamkwa na Kristo lilinakiliwa kutoka maandiko ya Biblia ya Injili kama ilivyoandikwa na Mtakatifu Luka. Filamu hii ya utendi ya masaa mawili itakupa changamoto kibinafsi.

Ili kuangalia Sinema ya YESU itakubidi ushushe RealPlayer inayopatikana Progressive Networks (http://www.real.com/).

Je, ungalipenda kuagiza kanda ya video ya "YESU" ?

Nyumbani Yesu ni nani? Sinema Ya  YESU Kanuni Nne za Kiroho Maisha Yaliyojaa Roho Mtakatifu Fursa Zana

© 1995-2003 Campus Crusade for Christ International

Last Updated: 28 May, 2002